Aina za Sauti
Soundscape inaweza kutumia sauti yoyote iliyosakinishwa kwenye simu yako. Ili kuongeza sauti, fungua mipangilio ya simu yako na utafute Kutoa maandishi kama matamshi. Ili kuchagua sauti katika Soundscape, fungua menyu na uchague Mipangilio, kisha Sauti, kisha Aina za Sauti.